Mwenyekiti wa Shirikisho la soka nchini Nigeria,Aminu
Maigari
Idara ya ujasusi nchini Nigeria imemtia nguvuni
mwenyekiti wa shirikisho nchini humoAminu
Maigarikwa madai ya vyeti ghushi.Inaripotiwa
kuwa Maigari imetiwa nguvuni baada ya kuwasaili katika uwanja wa michezo wa Nnamdi Azikiwe mjini Abuja,Keshi hiyo
hapo awali ilikua ikiendeshwa katika Mahakam ya Jos siku ya jumatatu.Aidha duru zinaripoti kuwa Maigari
amekua akiendesha shughuli za ofisi na vyeti ghushi habari hizi pia zimetolewa
na mtandao wa www.gongnews.net
No comments:
Post a Comment