Kocha wa KRA Ken Kenyatta akitoa maelekezo |
Watoza ushuru (KRA) wamewasajili wachezaji wa nne akiwemo Hassan Musaja Mohammed aliyekua kwa kikosi cha AFC Leopards kwa kandarasi ya miezi sita,Ezekiel Odero tokea Thika United na pia aliyekua mchezaji wa Tusker FC na Sofapaka hapo awali George Opiyo. Anayekamilisha orodha hii ni Robert Binja aliyekua strika wa Sofapaka wali.
Said PiePie,Nairobi.
No comments:
Post a Comment