|  | 
| Xavi Hernandez ambaye amestaafu kwa sasa | 
 Kiungo wa Barcelona na Uhispania Xavi Hernandez mwenye umri wa miaka 34 ametangaza kustaafu  ya kimataifa.Hapo awali kiungo huyo alichezea timu
 yake ya Uhispania  na kutwaa ushindi na pia makombe mawili ya mabingwa wa Ulaya
 akiwakilisha nchi yake.Akiwa na umri wa miaka 20 alianza kung'ara 
baada ya kuipatia ushindi timu yake katika mechi ya 15 Novemba 2000 
ambapo Uholanzi ililazwa bao1-0 dhidi ya Uhispania.
                     Uhispania ilianza tena kiombe la dunia mwaka huu nchini Brazil kama moja ya timu maarufu na tarajiwa lakini wakatolewa 
nje katika hatua ya makundi baada ya kuchabangwa 5-1 na Uholanzi na 
kisha 2-0 dhidi ya Chile.huku hayo yakijiri Jopo la wanasheria wanaomwakilisha mshambulizi wa Barcelona na Urugua 
Luiz Suarez limesema linamatumaini makubwa kuwa shirikisho la soka 
duniani FIFA litapunguza marufuku ya miezi minne aliyopewa mshambulizi 
huyo baada ya kumngata Giorgio Chiellini. 
Said PiePie,Nairobi.
 
No comments:
Post a Comment