Nahodha waTusker Fc almaarufu wanamvinyo Samwel Odhiambo amesema
kuwa timu yake iko katika hali nzuri yaku kung’ang’ania taji la KPL msimu huu
alisema haya mapema hii leo.Hapo jana Wanamvinyo hao ilicharaza Inmgwe mabao
2-1 katika mechi za Nane bora katika uchanjaa wa Kinoru,Meru.Kwa sasa Tusker inashikilia nafasi ya tatu na alama 27
katika jedwali la ligi ya primia humu nchini.
No comments:
Post a Comment