 |
Charles Ssemanda ambae amesajiliwa na Muhoroni Fc |
Strika wa Uganda Charles Ssemanda na
mlinda lango Allan Owiny wameonyesha
furaha yao baad a ya kujiunga na klabu ya MuhoroniWawili hao wameandikisha mkataba wa
miaka 2
Ssemanda ralishiriki katika ligi ya
FUFA nchini Uganda huku naye Owiny
akichezea klabu ya
Uganda Revenue Authority (URA) FC.MchezajI mwingine kutoka Uganda anayeskatia Muhoroni na beki
Hamidu Kwizera.
Said PiePie,Nairobi