 |
Baadhi ya wachezaji wa Kikosi cha Ujerumani |
Ujerumani, imesema kuwa wachezaji saba wawanaugua mafua hili linajiri saa chache tu kabla ya mchuano kati yao na Ufaransa.Kocha wa Ujerumani Joachim Low anasema kuwa wengi wanaumwa na koo ingawa hakutaja majina ya wachezaji hao.Mats Hummels na Christoph Kramer waliugua mapema wiki hii huku Mat akikosa mechi ya muondoano dhidi ya Algeria Jumatatu.Low anaamini kuwa mazingira ya Brazil na safari
za hapa na pale nchini humo pamoja na mvua kubwa ndio sababu ya
wachezaji wake kuugua .Aidha kocha huyo amesema kikosi chake kikiongangari kwa mechi ya leo fauka ya tishio la mafua
Said PiePie,Nairobi.
No comments:
Post a Comment