![]() |
Mutuyimana mlindalango wa Kiyovu Sports |
Timu ya Sofapaka almaarufu Babatoto ba Mungu imekubali kumsajili mlinda lango kutoka timu ya taifa ya Rwanda anayetokea klabu ya Kiyovu sports
Kulingana na mwenyeketi wa Sofapaka Elly Kalekwa kupitia mtandao amesema majadiliano rasmi yanaendelea na hivi karibuni mlinda lango huyo atajiunga nao.Kuwasili kwa Mutuyimana katika klabu ya sofapaka kutasaidia pakubwa kwani kipa wao Duncan Ochieng’ kwa sasa bado anauguza jeraha.
Said PiePie,Nairobi