Divock
Origi amemshukuru babake mzazi kwa kuhudhuria mechi ya hapo jana dhidi ya Urusi, jambo ambalo
amesema lilichangia pakubwa ushidi
wao wa jana,huku Ubelgiji ikijiaandika nafasi katika 16 bora katika michuano
ya kombe la dunia inayo endelea kule Brazil.Kwa sasa
Ubelgiji inaangoza kundi la HA na alama 6.
Hapo awali
Origi ilichezea timu za U15, U16, U17 na U19 zote za Ubelgiji huku akifunga bao lake la kwanza kwa ka timu
ya U19 katika mechi za UEFA 2013
Ubelgiji walizaba Urusi 1-0.
Said PiePie, Nairobi.