Mabingwa wa ligi ya kandanda humu nchini Gor Mahia watakabiliana na klabu ya Uingereza Hull City jijini Nairobi wikendi hii.
![]() |
Hull city katika mechi yao ya awali |
Hull City, ambayo hushiriki katika ligi ya daraja la pili EFL nchini Uingereza wanatarajiwa kuwasili hii leo Ijumaa kwa mechi ya kirafiki siku ya Jumapiliugani Kasarani..
Ziara ya klabu hiyo barani Afrika inafadhiliwa na kampuni ya Kamare ya Sportpesa kutoka kenya ambayo ni mfadhili wa timu tatu.