Mario Baloteli kwenye ikifanyolewa mtindo wa Mo Hawk
Mshambuliaji wa klabu cha Liverpool mario baloteli hutumia pauni
500 kila wiki ambazo ni sawa na sh72,000(£500) kila wiki kujitengezea
nywele.imeripotiwa zinasema kuwa mchezaji huyo ambaye hupendelea kunyoa mtindo
wa mo hawk mbali na kubadilisha rangi ya nywele zake humlipa kinyozi wake ili
kumtembelea nyumbani kwake mara tano kwa wiki.Duru zimeliambia gazeti la the
sun nchini uingereza kwamba Mario huwa mkarimu sana kwani yeye hulipa pauni hamsini
sawa na shilingi 7200 pesa kenya
kila anaponyolewa. |