![]() |
Louis van Gaal kocha wa Manchester United |
Aidha Meulensteen aliyefanya kazi na Sir Alex Ferguson hapo awali amekiri kuwa itamchukuaLouis van Gaal ngavi ngumu kukiivisha kikosi cha United ambacho kimzembea kwa sasaMechi yao ya kwanza msimu ujao United watafungua pazia na klabu ya Swansea.Man United walimaliza msimu uliopita katika nafasi ya saba jambo ambalo liliwaudhi maafisa wa klabu hiyo pamoja na mashabiki wa United dunia nzima.Hali iliyochangia kutimuliwa kwa david Moyes.Gaal aliwaongoza Uholazi kufika michuano ya semi fainali kombe la dunia nchini Brazil mwaka huu.
Said PiePie,Nairobi.