Monday, 30 June 2014

RAMBIRAMBI KWA SIMIYU


Strika wa Ulinzi Stars Anthony Mulinge Ndeto
            Naibu nahodha wa klabu ya Ulinzi Stars Anthony Mulinge Ndeto ametuma rambirambi zake kwa aliyekua strika wa Ulinzi Warriors Dan Mavious Simiyu.
Aidha Ndeto ameongeza kuwa Ulinzi imepoteza strika mahiri aliyejitolea kukuza mchezo wa soka katika klabu hicho.
Ndeto amewatakia jamaa familia na rafiki kuwa na subra wakati huu mgumu kwa kumpoteza mpendwa wao.Simuyu aliiaga dunia  Julai 24 wiki ilililopita baada ya kuvamiwa na majambazi alipokua akisafiri toka Nairobi kuelekea Nakuru.

Said PiePie,Nairobi.

No comments:

Post a Comment