![]() |
Levy Muaka ambaye amehamia City Stars |
Klabu ya Nairobi
City Stars imemsajili kiungo wa kati Levy Muaka kutoka timu kutoka Vapor Fc kwa
kandarsi ya miaka miwili.Taarifa hii
imetolwa mapema hii leo na naibu kocha klabu ya City stars Joseph Jagero.
Aidha Jagero ameongeza kuwa
wachezaji wengine ambao klabu yake imewapa kandarsi ni pamoja na Oscar
Mbugua na Wayne Ochieng
Nairobi city stars kwa sasa iko na
alama 14 huku ikishikilia nafasi ya 14 katika jedwali la ligi ya primia humu
nchini.
Said PiePie,Nairobi.
No comments:
Post a Comment