![]() |
Charles Ssemanda ambae amesajiliwa na Muhoroni Fc |
Strika wa Uganda Charles Ssemanda na mlinda lango Allan Owiny wameonyesha furaha yao baad a ya kujiunga na klabu ya MuhoroniWawili hao wameandikisha mkataba wa miaka 2
Ssemanda ralishiriki katika ligi ya FUFA nchini Uganda huku naye Owiny akichezea klabu ya Uganda Revenue Authority (URA) FC.MchezajI mwingine kutoka Uganda anayeskatia Muhoroni na beki Hamidu Kwizera.
Said PiePie,Nairobi
No comments:
Post a Comment