Tusker  FC  hatimaye wamnyakua  Dennis Ng'ang'a
kutoka klabu Nairobi city kwa kandarasi ya 
miaka 2.Kandarasi hii imetangazwa rasmi na mwelekezi  wa klabu ya wanamvinyo Charles Obiny akiongeza kuwa wamemtema raia wa Nigeria
Governor aidha Jeffrey amelalama kuwa huduma za mchezaji huyo zimekua zikididimia
kila uchao.
Said PiePie,Nairobi. 

 
 
No comments:
Post a Comment