Wachezaji watatu wa ligi ya primia watatakosa mechi katika juma la 15 baada ya kuonyeshwa kadi za njano.Timu ya SoNy Sugar itakosa hudumu za Edwin Oduor baada ya kupata kadi 5 za manjano wakati wa mechi kati yao na Muhoroni katika Uga wa Awendo mnamo Juni 15,huku wanamanasi Thika United watakosa huduma za mlindalango Dennis Odhiambo wakati wa mchuano wao na Mathare United katika uga wa Nyayo siku ya City Stadium.Odhiambo anakadi 5 za manjano.
Said PiePie,Nairobi
No comments:
Post a Comment