![]() |
Dan Sserenkuma Strika wa Gor Mahia |
Strika wa Gor Mahia Dan Sserenkuma anapania kuelekea nchini Denmark kwa majaribio ya kujiubnga na klabu ya daraja la kwanza ya HB Koge.Sserenkuma ataelekea Denmark tarehe 28 mwezi huu na atarudi nchini tarehe 10 Julai. HB Koge pia inawachezaji wengine kutoka humu nchini kama vile Thobias Ndungu aliyekua mchezaji wa Harambee Stars na Emmanuel Ake.
Said PiePie,Nairobi
No comments:
Post a Comment