 |
Robert Ssentago anayepania kuhamia Gor |
Strika wa Uganda Cranes Robert Ssentogo anapania kujiunga na Gor Mahia
FC. Kulingana na habari zilizotolewa na Naibu katibu wa Gor Mahia Ronald Ngala
.Hapo
awali Ssentogo alichezea URA ya Uganda na St Georges kule nchini Ethiopia
Said PiePie,Nairobi.
No comments:
Post a Comment