Friday, 20 June 2014

MECHI ZA INGWE ZAHAIRISHWA


 
 
Kikosi  cha Leopards almaarufu  Ingwe

    Mechi kati ya AFC Leopards na Western Stima iliyokuwa imeratibiwa kukaragazwa Jumapili ya Juni 22 na mechi nyingine kati yao na Bandari ambayo iliratibiwa kusakatwa Jumatano ya Juni 25 zimehairishwa hii ni kuilingana na ripoti iliyotolewa mapema hii leo shirikisho la ligi ya primia humu nchini KPL

Huku hayo yakijiri Top Fry watakua wenyeji  wanamvinyo Tusker FC watakapo menyana mnamo Jumatano ya Juni 25 katika uchanjaa wa Afraha mjini Nakuru.

Said PiePie,Nairobi.


No comments:

Post a Comment