Thursday, 19 June 2014

WENDO AGURA MATHARE






Kenneth Wendo
          Kenneth Wendo amegura klabu ya Mathare United baada  ya kandarasi yake kukamilika  Jumamosi ya Juni 14.Strika huyo alijiunga na Mathare katikati yamsimu uliopita kwa kandarasi ya mwaka 1.

Said PiePie,Nairobi.

No comments:

Post a Comment