Strika wa Atletico Madrid,Diego
Costa amejiunga na klabu ya Chelsea kwa kwa kandarasi ya miaka mitano kwa kima
cha £32mAidha mshambulizi huyo amekuwa
mchezaji wa tatu kujiunga na Chelsea baada ya Cesc Fabregas na Mario Pasalic.Costa
amefungia Atletico mabao 52 msimu
uliopita ambapo walishinda taji la kwanza la La Liga tangu 1996 na kufikia kuwa
mabingwa wa ligi.Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho aliongeza mshambulizi matata
katika kipindi hicho.Costa atajiunga na mchezaji mwenza wa kimataifa Cesc
Fabregas kutokana na matokeo duni ya uhispania katika kombe la dunia ambapo
walibanduliwa nje katika hatua ya kwanza ya kikundi.Wakati uo huo Costa
ameonyesha furaha yake kujiunga na Chelsea akisema kuwa ataonyesha umahiri wake
ulaya.
Said PiePie,Nairobi.
No comments:
Post a Comment