![]() |
Sami Khedira aliyekua kiungo wa Real Madrid |
Klabu ya Arsenali imefikia hatua ya kumsajili kiungo wa kati Sami Khedira.tokea Real Madrid kwa kima cha £20m.Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 27 ni mzawa wa Tunisia laikini kwa sasa anasakata soka ya kulipwa nchini Ujerumani kandarasi yake bado ipo kule Santiago hadi mwaka wa 2015.Maelewana na klabu ya Arsenali wanazidi kunoga,aidha wanabunduki wamesha wasajili mhispania Alexis Sanchez ambaye hapo awali alikua akiwasakatia Barcelona.
Said PiePie,Nairobi.
No comments:
Post a Comment