
Mechi saba za ligi ya primia humu nchini zilizokuwa zimeratibiwa kusakatwa wikendi hii zihairishwa.Kulingana na afisa mkuu ya Ligi ya primia nchini Jack Oguda amesema kuwa hali hii imechangiwa na kusafiri kwa kikosi cha Harambee Stars kuelekea Brazil
Aidha Oguda ameongeza kuwa michuano ya ligi ya primia itarejelewa kuanzia Jumamosi tarehe 5 Julai na Jumapili 6 mwezi ujao.
Said PiePie,Nairobi.
No comments:
Post a Comment